ROSTAM AZIZI: Kampuni Za Kitanzania Zijengewe Mazingira Ya Kukua Kupitia Miradi Mikubwa Ya Uwekezaji Nchini

MUHTASARI ‘Serikali inatumia fedha nyingi kujenga miundombinu lakini sehemu kubwa ya mikataba mikubwa inaendelea kutekelezwa na kampuni za kigeni, huku wakandarasi wetu wengi wakibaki na kazi ndogo ndogo hali inayosababisha waendelee kudumaa,”Bwn ROSTAM AZIZ Mwenyekiti wa Taifa Group, Bwn Rostam Azizi ametoa rai kwa Serikali na wadau mbalimbali kuweka maslahi mbele katika suala la uwezeshaji […]

Afrika Yashauriwa Kuwekeza Kwenye Teknolojia Ya Nyuklia Kwa Maendeleo Endelevu

MUHTASARI Licha ya wanawake kuchangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa Tanzania, uwakilishi wao katika taaluma za uhandisi na teknolojia bado ni mdogo. Na Damas Makangale, Dar es Salaam Katika nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, teknolojia ya nyuklia mara nyingi kuhusishwa zaidi na vita na nguvu za uharibifu zinazotokana na silaha za nyuklia.  Mtazamo huu […]

Tanzania Yaimarisha Mapambano Dhidi Ya VVU Na Ukimwi Kuelekea 2030

MUHTASARI Tanzania imeweza kuendeleza afua mbalimbali katika mwitikio wa kupambana na VVU na UKIMWI, ikiwemo kufufua kiwanda cha kutengeneza dawa na vifaa tiba cha Tanzania Pharmaceutical industries Ltd (TPI) kilichopo mkoani Arusha. Na Mwandishi Wetu/  Dodoma Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu kupitia Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), imeendelea kuongeza […]

Taifa Gas Yadhamini Na Kutoa Mafunzo Ya Matumizi Ya Nishati Safi Kwa Walemavu

MUHTASARI Ni muhimu kwa makundi maalum kwenye jamii ya Watanzania kupata uelewa wa matumizi sahihi ya mitungi ya gesi, usalama, afya na kulinda mazingira pamoja na uuzwaji wa gesi unavyofanyika kwenye masoko yanayotambulika kwa mujibu wa sheria. Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kampuni ya Taifa Gas imedhamini na kushiriki kutoa mafunzo ya siku moja […]

Tab Section Title

Must Read

Close