Serikali Yafanya Kikao Kazi Cha Kukabiliana Na Mvua Za EL Nino: Ziara Kufanyika Nchi Nzima Kukagua Utayari Wa Kukabiliana Na Athari Za Mvua Zinazotarajiwa
MHTASARI Hatua hizo ni sehemu ya maandalizi ya Serikali ya kuimarisha uwezo wa taifa wa kukabiliana na majanga na kupunguza...
